Mkuu wa Wilaya ya Geita Mhe. Hashim Komba amezitaka taasisi za elimu Mkoani Geita, kuanzisha programu maalumu ya utoaji maziwa katika taasisi hizo kama ilivyo programu ya lishe shuleni ili kuongeza kasi ya unywaji wa maziwa.
Saturday 1 November 2025
⁞
