NCHI ZA EAC ANZISHENI MIFUKO YA MAENDELEO YA PETROLI - RAIS MWINYI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi amezihamasisha nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa na Mifuko ya Maendeleo ya Petroli (Petroleum Fund)..............