Watumishi wa Bodi ya Tumbaku Tanzania (TTB) wamekumbushwa kuzingatia viwango vya juu vya uadilifu, nidhamu na kutoa huduma bila upendeleo kwa kila mmoja  ili kutimiza malengo ya taasisi hiyo, kuepuka upendeleo na kutoa huduma chini ya kiwango.
				Tuesday 4 November 2025			
						
		⁞
