Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt Doto Biteko, ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kujenga laini mpya ya Umeme kutoka Nyakanazi-Ushirombo na Kahama Bongwe hadi Bukombe ili kuhakikisha hali ya upatikanaji wa umeme katika Wilaya ya Bukombe inaimarika.
Monday 3 November 2025
⁞
